HTubeTitle:MUNGU WA MATENDO MAKUU NKUYU SEKONDARI - (POG GIVING)
Duration:00:06:06
Viewed:7x
Published:20 April 2019
Source:Youtube
Like This ?:

Safari ya kuudhihirisha Upendo wa BWANA YESU iliendelea hadi Shule ya sekondari Nkuyu na mtumishi wa MUNGU Nabii Sanga alikabidhi vifaa vya michezo shuleni hapo ili kuondoa changamoto hiyo iliyokuwa ikiwakabili shuleni hapo kwa mda mrefu sasa.
Sifa na utukufu apewe Bwana Yesu kwa kuwafikia wanafunzi hawa wilayani Kyela kupitia mtumishi wake Nabii Sanga.

SHARE TO YOUR FRIENDS